Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Wtf! Van persie funga mbwa hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maradona chiziHa ha ha, kweli mkuu (Maradona) alihahidi kutembea uchi. V.Persie nomaaaa
Torres na pedro in, costa diego na alonso out,,,,,,,,ushindi lazima kwa spain.
acha hizo,kachezewa rafu mguu wa kushoto baada ya kumfinya beki kwenye 18.
Spain pamoja na kufungwa lakini wanacheza kitu kinaitwa "soka".
Wewe acha kujitoa fahamu umesahu kipindi kile ulipokuwa cheerleader wa timu yetu, nilipokuwa ninawanyanyua kwenye majukwaa.
Hii mechi ya leo kuna timu itashinda 3-1, kwasababu timu zote beki zao za kati sio nzuri sana {kwa leo}