World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuanguka kwa HIMAYA ya Spain!Hawana jipya na mbinu zao zimesomwa na kila top seeds nao na hawawezi ifunga team yyt kubwa anymore!!
 
Mikeka mingi imechanika leo.poleni jamani.hii ndio soka goo 3-2!no,ni offside
 
Kuna jamaa kaweka mzigo kwa spain,halafu hela ni mchango ya harusi na kikao kesho jioni!!
 
Hapana, ni mapema mno, bado kuna majembe Argentina ,German, Italy , France, kimsingi ni mapema
 
Del Bosque kachemsha kumuingiza Torres...afadhali angeingia Fabregas.
 
Back
Top Bottom