Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kushabikia goli ya kudanganya, costa amemuhadaa refa na mashabiki pia.
Huu udwanzi wa kudanganya ulifanya Sures akadaka na Ghana ikatolewa iliniudhi sana.
La pili arjen robben,,,,,,,,,hawa spain wameanza kuniudhi sasa,,,,,,,,nahamia kuwashangilia holland sasa.
#teamSpain mko wapi?
Nipo hapa japo kwa mkopo leo.Team Spain tujuane jaman, tusikimbiane humu
#teamSpain mko wapi?
Hahahahaaah,,,,,,,,,niwape pole spain in advance.
Tumejaa tele. Mechi yenyewe ya kwanza kwenye kundi hata haiumi
haa haa haa .....kujuana muhimu lakini
Tumejaa tele. Mechi yenyewe ya kwanza kwenye kundi hata haiumi
Mkuu iyo maradona ondoa,ana element za uteja huyu.
Nipo hapa japo kwa mkopo leo.
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.Kumbe wewe ni bendera yafuata upepo.... basi kesho usikose kutushangilia lol
Ningependa Spain waongezwe lingine na lingine ikibidi na lingine.
Siuseme tu mitaa yako ya Redlight districtMitaa ya Amsterdam, Rotterdam sasa itakuwa haishikiki kwa shamra shamra
Baba Shakira kazungushwa pale, safi sana.