World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Algeria siyo bora kama ufikiriavyo, wamekutana na timu dhaifu sana.
Pamoja na udhaifu wao, hii ni mara yao ya tatu kushiriki Fainali hizi. Na iwapo matokeo yatakuwa hivi hivi, basi watakuwa wamefanikiwa sana.

Kabla ya mechi ya leo hakuna timu toka Afrika iliyowahi kuishinda South Korea, Mara ya kwanza Korea waliwashinda Togo kwa bao 2-1 mwaka 2006, na baade kutoka sare na Nigeria 2-2 mwaka 2010
 
Haya ngoja tusubiri mchapo unaofuata tuone kama Ronaldo atakiputa au ndio atafuata ushauri wa Madaktari.
 
halafu hao walivyo wehu wanaweza kata hata siku ya fainali..

Mm niliisha shtukia hii ya TANESCO na katakata umeme yao!Ndiyo maana nikakodi jenerata pale kwa Mangi ukizima tu linawaka! DEMBA kama unahitaji huduma hii niambie chemba
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh hizi mechi itabid niache kuangalia ooh... maana kila dakika nimeshikilia moyo usichomoke kwa hofu.

Well-done Algeria... we're so proud of you
 
World cup hii,Nadhani Algeria ndio timu pekee ya Africa ambayo ina very effective attacking plans and executions.
 
USA the team of my lovely daughter!Please DEMBA Gwamahala rubaman na wengineo niungeni mkono leo jamani!!All the way USA tuingie mtaani tushangilie ushindi wetu
 
Last edited by a moderator:
Mpira ukianza uweke moyo wako mezani 🙂🙂 ila uwe muangalifu vibaka wasiuchape, mpira ukiisha unaurudisha nyumbani kwake 🙂🙂

Duuuuh hizi mechi itabid niache kuangalia ooh... maana kila dakika nimeshikilia moyo usichomoke kwa hofu.

Well-done Algeria... we're so proud of you
 
Kazi ipo kwa Korea, Algeria hawana mchezo. The rest of Africa should learn from them...this is serious football; siyo watu wanakuwa wazito uwanjani ukichanganya na uzembe kama waliouonesha Nigeria!

Nina wasiwasi kama uliangalia vizuri game za Nigeria au ulikua unaangalia huku unasinzia.
Kwa mfano game yao ya usiku na Bosnia wamecheza vizuri sanaaa, wamejituma na kujitolea kila kitu na mechi ilikua ina amshaamsha mwanzo mwisho.
Game yao na Iran watu waliichukulia poa mpaka walivyoona jana maamuzi ya refa yakiwasaidia Argentina kupata points 3 or else ilikua droo au walale, kwa hiyo Nigeria wamecheza match mbili na team nzuri na wamejikusanyia points 4
 
Mpira ukianza uweke moyo wako mezani 🙂🙂 ila uwe muangalifu vibaka wasiuchape, mpira ukiisha unaurudisha nyumbani kwake 🙂🙂

Hahahaha. Itabidi nifuate ushauri wako maana nitaupoteza 🙄🙄
 
World cup hii,Nadhani Algeria ndio timu pekee ya Africa ambayo ina very effective attacking plans and executions.

Me nakataa Mkuu, kwa sababu wamewafunga Korea kwa goal 4?
Uliangalia game ya usiku ya Nigeria Vs Bosnia? Ghana Vs Germany je?
 
Watanzania sasa tuone umuhimu wa uraia pacha..timu ya algeria karibia asilimia 100 ni wafaransa wenye asili ya algeria wala hawaijui hata algeria inafananaje....Mfano Yacine Brahimi ni mfaransa aliyechezea ufaransa timu ya watoto....ni juzi tu mwaka huu 2014 ndio kachukua jezi ya algeria....hakuwai kuichezea algeria mpaka mechi ya mwisho ya qualification ya world cup na benin...
 
Duuuuh hizi mechi itabid niache kuangalia ooh... maana kila dakika nimeshikilia moyo usichomoke kwa hofu.

Well-done Algeria... we're so proud of you

nikabidhi moyo wako, utakuwa salama salimini.
 
Okay, hii kitu acha banaaaa mie ile mechi ya Ghana na Germany nilikuwa restless ile mbaya hasa baada ya Ghana kufunga goli la pili. Ningekuwa na uwezo wa kukimbiza saa basi ningefanya hivyo ili uishe huku Ghana wakiwa wanaongoza 2-1 lol!!!! hahahahahaha lakini bahati mbaya uwezo huo sina.

Hahahaha. Itabidi nifuate ushauri wako maana nitaupoteza 🙄🙄
 
Back
Top Bottom