Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Pamoja na udhaifu wao, hii ni mara yao ya tatu kushiriki Fainali hizi. Na iwapo matokeo yatakuwa hivi hivi, basi watakuwa wamefanikiwa sana.Algeria siyo bora kama ufikiriavyo, wamekutana na timu dhaifu sana.
Kabla ya mechi ya leo hakuna timu toka Afrika iliyowahi kuishinda South Korea, Mara ya kwanza Korea waliwashinda Togo kwa bao 2-1 mwaka 2006, na baade kutoka sare na Nigeria 2-2 mwaka 2010