Pamoja na udhaifu wao, hii ni mara yao ya tatu kushiriki Fainali hizi. Na iwapo matokeo yatakuwa hivi hivi, basi watakuwa wamefanikiwa sana.Algeria siyo bora kama ufikiriavyo, wamekutana na timu dhaifu sana.
halafu hao walivyo wehu wanaweza kata hata siku ya fainali..
Duuuuh hizi mechi itabid niache kuangalia ooh... maana kila dakika nimeshikilia moyo usichomoke kwa hofu.
Well-done Algeria... we're so proud of you
Kazi ipo kwa Korea, Algeria hawana mchezo. The rest of Africa should learn from them...this is serious football; siyo watu wanakuwa wazito uwanjani ukichanganya na uzembe kama waliouonesha Nigeria!
Mpira ukianza uweke moyo wako mezani ππ ila uwe muangalifu vibaka wasiuchape, mpira ukiisha unaurudisha nyumbani kwake ππ
World cup hii,Nadhani Algeria ndio timu pekee ya Africa ambayo ina very effective attacking plans and executions.
Me nakataa Mkuu, kwa sababu wamewafunga Korea kwa goal 4?
Uliangalia game ya usiku ya Nigeria Vs Bosnia? Ghana Vs Germany je?
Ghana vs German ilikuwa Kali. Mnoooo.....
Duuuuh hizi mechi itabid niache kuangalia ooh... maana kila dakika nimeshikilia moyo usichomoke kwa hofu.
Well-done Algeria... we're so proud of you
Hahahaha. Itabidi nifuate ushauri wako maana nitaupoteza ππ