World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mkuu hili ni swala la muda tu, hata halihitaji mjadala.
 
Me nakataa Mkuu, kwa sababu wamewafunga Korea kwa goal 4?
Uliangalia game ya usiku ya Nigeria Vs Bosnia? Ghana Vs Germany je?

nadhani jamaa anaposema "effective attacking plans and executions" analinganisha idadi ya nafasi zilizopatikana na idadi ya magoli yaliyofungwa. So far kwa africa algerians have done the best. Ghana wamepata nafasi nyingi mno ambazo wangeweza kufunga VS USA lakini walifunga goli moja tu. Pia ghana walipata nafasi nyingi sana VS german lakini wamefunga goli mbili tu. Angalia USA walipata nafasi ngapi VS Ghana, angalia German wamepata nafasi ngapi VS Ghana na wamefunga goli ngapi.
Ukiangalia finishing ya algeria, jinsi wanavyoshoot kufunga unaona kabisa sio mishuti ya nguvu tu utaona imechanganyika na matumizi ya akili.
 
Hahahahaa..... duuuh.... aisee waeza jikuta unapata wehu wa muda. Mi nilijikuta nazungazunguka tu sitting rum. Halafu mbaya nilijitia kubet na shemeji yangu 100,000!! Uuwiii nilikuwa natakaje washindee
 
Reactions: BAK
Dah!!!!! Wache moyo utake kutoka lol!!!!!! Hahahahahaha kuliwa 100,000 si mchezo...Shemeji hakukusamehe badala ya laki umpe nusu laki tu? Na leo ulibet tena au uliingia mitini?

Usemacho ni kweli!Algeria wana akili mno ya kutumbukiza wavuni!Kama ingekuwa hizi teams 4 zilizobaki goli la 1 na la 4 wasingefunga maana jamaa katumia akili tupu kuweka kwenye kamba sio manguvu
 
Hahahahaa..... duuuh.... aisee waeza jikuta unapata wehu wa muda. Mi nilijikuta nazungazunguka tu sitting rum. Halafu mbaya nilijitia kubet na shemeji yangu 100,000!! Uuwiii nilikuwa natakaje washindee

Usiwe na wasiwasi wewe bet tu usiogope uki lose bet mimi nita take care, wewe nistue tu. Enjoy WC matches.
 
Dah!!!!! Wache moyo utake kutoka lol!!!!!! Hahahahahaha kuliwa 100,000 si mchezo...Shemeji hakukusamehe badala ya laki umpe nusu laki tu? Na leo ulibet tena au uliingia mitini?

Hakuliwa mtu maana zilitoka droo. Ghana ingeshinda ningekula. Leo sijabet niliiona kama match haina mashiko... nimebet ya USA vs Portugal. Ila dau limeshuka tumefanya 50,000.
 
Reactions: BAK
Okay, bahati yako na bora umeamua kushusha dau.

Hakuliwa mtu maana zilitoka droo. Ghana ingeshinda ningekula. Leo sijabet niliiona kama match haina mashiko... nimebet ya USA vs Portugal. Ila dau limeshuka tumefanya 50,000.
 
USA? sidhan kama watatoka leo....

Do not under estimate USA DEMBA!Hawa watu wanatumia billion of dollar kwenye programmes zao za michezo!Wanapiga hatua sana na sasa wapo kwenye CATAGORY B kwenye soka,wakifika CATAGORY A fainali za Qatar 2022 utawaona USA kutoka kuanzia nusu fainali!
 
Last edited by a moderator:

Kuna kitu mnakipuuzia hapo ambacho ni kiwango cha mpinzani wako, labla uniletee namba hapa kwamba Ghana walitengeneza nafasi ngapi na ngapi zikazaa magoli la sivyo mimi nitaendelea kupima makali ya forward line yako Vs ukuta gani inaupasua.

Kwa mfano tu; unawezaje kulinganisha organization ya beki ya Ujerumani na ya Korea? unaambiwa kwa kikosi cha ujerumani zaidi ya 80% wanacheza kwenye Champions League, Korea je? Algeria wangeweza kufunga goal nne kwa Mertasacker, Hummels, Boateng, Lahm na Manuel Nuerer?
 
Do not under estimate USA DEMBA!Hawa watu wanatumia billion of dollar kwenye programmes zao za michezo!Wanapiga hatua sana na sasa wapo kwenye CATAGORY B kwenye soka,wakifika CATAGORY A fainali za Qatar 2022 utawaona USA kutoka kuanzia nusu fainali!

But hawa USA leo sijui kama watapona
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…