Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
kila mnyonge ana mnyonge wake
Kabisa demba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila mnyonge ana mnyonge wake
Watanzania sasa tuone umuhimu wa uraia pacha..timu ya algeria karibia asilimia 100 ni wafaransa wenye asili ya algeria wala hawaijui hata algeria inafananaje....Mfano Yacine Brahimi ni mfaransa aliyechezea ufaransa timu ya watoto....ni juzi tu mwaka huu 2014 ndio kachukua jezi ya algeria....hakuwai kuichezea algeria mpaka mechi ya mwisho ya qualification ya world cup na benin...
DaaaH! wacheni hizo wakuu! 🙂Kabisa demba
Me nakataa Mkuu, kwa sababu wamewafunga Korea kwa goal 4?
Uliangalia game ya usiku ya Nigeria Vs Bosnia? Ghana Vs Germany je?
Haya ngoja tusubiri mchapo unaofuata tuone kama Ronaldo atakiputa au ndio atafuata ushauri wa Madaktari.
Okay, hii kitu acha banaaaa mie ile mechi ya Ghana na Germany nilikuwa restless ile mbaya hasa baada ya Ghana kufunga goli la pili. Ningekuwa na uwezo wa kukimbiza saa basi ningefanya hivyo ili uishe huku Ghana wakiwa wanaongoza 2-1 lol!!!! hahahahahaha lakini bahati mbaya uwezo huo sina.
World cup hii,Nadhani Algeria ndio timu pekee ya Africa ambayo ina very effective attacking plans and executions.
Hahahahaa..... duuuh.... aisee waeza jikuta unapata wehu wa muda. Mi nilijikuta nazungazunguka tu sitting rum. Halafu mbaya nilijitia kubet na shemeji yangu 100,000!! Uuwiii nilikuwa natakaje washindee
Ukiangalia finishing ya algeria, jinsi wanavyoshoot kufunga unaona kabisa sio mishuti ya nguvu tu utaona imechanganyika na matumizi ya akili.
Hahahahaa..... duuuh.... aisee waeza jikuta unapata wehu wa muda. Mi nilijikuta nazungazunguka tu sitting rum. Halafu mbaya nilijitia kubet na shemeji yangu 100,000!! Uuwiii nilikuwa natakaje washindee
Dah!!!!! Wache moyo utake kutoka lol!!!!!! Hahahahahaha kuliwa 100,000 si mchezo...Shemeji hakukusamehe badala ya laki umpe nusu laki tu? Na leo ulibet tena au uliingia mitini?
Hakuliwa mtu maana zilitoka droo. Ghana ingeshinda ningekula. Leo sijabet niliiona kama match haina mashiko... nimebet ya USA vs Portugal. Ila dau limeshuka tumefanya 50,000.
Usiwe na wasiwasi wewe bet tu usiogope uki lose bet mimi nita take care, wewe nistue tu. Enjoy WC matches.
USA? sidhan kama watatoka leo....
nadhani jamaa anaposema "effective attacking plans and executions" analinganisha idadi ya nafasi zilizopatikana na idadi ya magoli yaliyofungwa. So far kwa africa algerians have done the best. Ghana wamepata nafasi nyingi mno ambazo wangeweza kufunga VS USA lakini walifunga goli moja tu. Pia ghana walipata nafasi nyingi sana VS german lakini wamefunga goli mbili tu. Angalia USA walipata nafasi ngapi VS Ghana, angalia German wamepata nafasi ngapi VS Ghana na wamefunga goli ngapi.
Ukiangalia finishing ya algeria, jinsi wanavyoshoot kufunga unaona kabisa sio mishuti ya nguvu tu utaona imechanganyika na matumizi ya akili.
Okay, bahati yako na bora umeamua kushusha dau.
Do not under estimate USA DEMBA!Hawa watu wanatumia billion of dollar kwenye programmes zao za michezo!Wanapiga hatua sana na sasa wapo kwenye CATAGORY B kwenye soka,wakifika CATAGORY A fainali za Qatar 2022 utawaona USA kutoka kuanzia nusu fainali!