World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mourihno

Portugal kwa jinsi walivyocheza itakuwa sio haki kuingia raundi ya pili
 
Last edited by a moderator:
Ghana out..sioni nafasi yakusonga mbele.. u.s.a ana point 6 German 4,Ghana 1,sasa nafasi iko wapi ebu nijuzeni wadau?
 
Hii inamaanisha ghana akishinda mechi ya mwisho vs ureno afu germany akampiga USA magoli zaid ya matatu. Ghana atapita wakuu
 
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa

Sio 2 mkuu,inabidi ziwe 3 kabisa hapa namaanisha Egypt, Morocco na hawa Algeria. Hlf hizo nafasi mbili zilizobaki moja iwe ya Ghana ingawa sometimes nao wanakera but at least. Then nafasi 1 iliyobaki ndo wangine waigombee. Hapo nafikiri akili zitakaa sawa
 
Naona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.
Portugal nae anaombea USA afungwe,yeye pia amfunge Ghana.Ghana hawasongi,walikosea sana kutomfunga German
 
Kanafasi kweli kapo kwa ghana kupita lakini mmh tuombe Mungu tu,halafu tunatakiwa kujipanga kweli tukiparaganyika ureno watatubonda vile vile!
 
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa

Siungi mkono. Hujui usemalo niambie ni timu gani ya kiarabu iliyofika robo final.Hakuna subiri round ya 1 ikamilike ndo utoe uamuzi
Bado afrika nyeusi Ina nafasi
 
Kanafasi kweli kapo kwa ghana kupita lakini mmh tuombe Mungu tu,halafu tunatakiwa kujipanga kweli tukiparaganyika ureno watatubonda vile vile!

zingatia kuwa draw yoyote ile german na USA wote wanapita. Pia zingatia kocha wa USA ni mjerumani ambaye alishachezea timu ya taifa ya ujerumani.
 
Algeria bwan,nchi haiatabiriki,inasumbuliwa sana na nchi za afrika mashariki Kenya,Uganda na hata TZ(Bongo) ila muziki wake hata madomokaya england wanaujua au farao walipokosa 2010 world cup kwa hawa jamaa Algeria
 
haa hhaa haa haa hawa trust me hawatafika mbali, hawana tofauti na timu za kiafrika pamoja na huko kuwekeza bilions of shillings kwenye mpira...
Do not under estimate USA DEMBA!Hawa watu wanatumia billion of dollar kwenye programmes zao za michezo!Wanapiga hatua sana na sasa wapo kwenye CATAGORY B kwenye soka,wakifika CATAGORY A fainali za Qatar 2022 utawaona USA kutoka kuanzia nusu fainali!
 
Gerrard says Harry Redknapp should name the players who he claimed tried to avoid England duty
 
Manchester United inaendelea kushika usukani kwa kufunga magoli mengi kwenye kombe la dunia kwa timu zinazotoka kwenye ligi ya Uingereza. Magoli 6.
Robin Van Persie-3
Maroune Fellain-1
Wayne Rooney-1
Luis Nani-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…