Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa na kocha wao naona ana tatizo kwenye kufanya selection
Naona na Mzee Van Gaal kaanza kulia na FIFA na ratiba yao inavyowabeba Brazil,
Ghana out..sioni nafasi yakusonga mbele.. u.s.a ana point 6 German 4,Ghana 1,sasa nafasi iko wapi ebu nijuzeni wadau?
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa
Portugal nae anaombea USA afungwe,yeye pia amfunge Ghana.Ghana hawasongi,walikosea sana kutomfunga GermanNaona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.
ila hapo ana haki ya kulalamika,kwa nini match za group A,sizianze?kwa nini zianze za group B?
USA point 6? embu angalia source yako vizuriGhana out..sioni nafasi yakusonga mbele.. u.s.a ana point 6 German 4,Ghana 1,sasa nafasi iko wapi ebu nijuzeni wadau?
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa
Kanafasi kweli kapo kwa ghana kupita lakini mmh tuombe Mungu tu,halafu tunatakiwa kujipanga kweli tukiparaganyika ureno watatubonda vile vile!
Do not under estimate USA DEMBA!Hawa watu wanatumia billion of dollar kwenye programmes zao za michezo!Wanapiga hatua sana na sasa wapo kwenye CATAGORY B kwenye soka,wakifika CATAGORY A fainali za Qatar 2022 utawaona USA kutoka kuanzia nusu fainali!
Mkuu German na u.s.a wote wana 4, Portugal na Ghana wote wana 1