Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hamjambo humu ndani
Am good MEANDU thanks for asking! How are you?
wajanja wanashangilia [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamholland]#teamholland [/URL] ...im RRONDO btw karibu
Hatujambo my wii, team gani leo? Holland siwapendagi toka 2010 walipotutoaga Ghana. Sina hamu nao
Watoto wa Obama wanajitahidi sana toka enzi zile za Bush 2002 wamekuwa wakipiga hatua sana kwa kila mashindano.
Sijui kwa nini Del Bosque alikuwa anamwacha nje Villa.Amepiga bonge la bao
Spain wameshapiga bao huko
Spain wameshapiga bao huko
Holland bora ashinde ili amkwepe Brazil,naamini Brazil ataongoza kundi lake kwa kumfunga Cameroonduh ROBBEN anawakosakosa chile hapa......COME ON HOLLAND!!
#TeamHolland
wanashtuka wakati kumeshakucha......Spain wameshapiga bao huko
Mm naiona hii ya Chile vs Netherland;naona wanapambana ingawaje wote wamepita ili kumkwepa mwenyeji Brazil!Hamna mtu anayetaka awe wa 2 apambane na mwenyeji
unachanganya Holland na Uruguay Bantu lady .......karibu ORANGE
hahahaaah,,,,,,wote wanamuogopa brazil wakati wao ni wazuri kuliko brazil.Mm naiona hii ya Chile vs Netherland;naona wanapambana ingawaje wote wamepita ili kumkwepa mwenyeji Brazil!Hamna mtu anayetaka awe wa 2 apambane na mwenyeji
Mm naiona hii ya Chile vs Netherland;naona wanapambana ingawaje wote wamepita ili kumkwepa mwenyeji Brazil!Hamna mtu anayetaka awe wa 2 apambane na mwenyeji