World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Watoto wa Obama wanajitahidi sana toka enzi zile za Bush 2002 wamekuwa wakipiga hatua sana kwa kila mashindano.

Kwenye programes zao za soka wapo Cat B na mipango yao ya muda mrefu ni kuwa kuanzia 2022 huko Russia ndiyo waanze kufanya mambo!Hawa jamaa kama upo underage hata kama una uwezo wa kupiga tu kona utasoma bure hadi chuo kikuu!!
Wanwekeza sana kwenye soka wanaanza kuona mafanikio sasa!Kundi hili wanapita
 
huyu mtangazaji anasema alivyobutuliwa mchezaji was Chile mpira ukaendelea anasema "that was not fair"
 
Mm naiona hii ya Chile vs Netherland;naona wanapambana ingawaje wote wamepita ili kumkwepa mwenyeji Brazil!Hamna mtu anayetaka awe wa 2 apambane na mwenyeji

kichekesho ni Brazil atakaposhika nafasi ya pili iwapo Mexico atamfunga Croatia na Brazil wakadraw mwchi yao....
 
Robben angefunga goli pale alipowakimbiza nadhani ndo lingekuwa goli bora la mashindano.
 
Back
Top Bottom