World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kitu cha ajabu ni kwamba magoli yote ya brazil mabeki ndio wameassist
 
Makaburu wawe makini sana naona Brazil wanatumia mipira ya juu sana
 
Huyu Naymair mchezaji Mzuri ila anakazarau cha kupigwa Kofi moja mpaka asikie nziiiiiiiiiiii!
 
Hawa Kameruni waligoma kwenda Brazil kisa hela haitoshi wakapewa hela cha ajabu hawajshinda hata mechi moja, je kwanini serikali yao isiwafungulie kesi kulipa fidia?
 
Wakuu hii gemu ya Croatia na Mexico ni balaa! Ningejua ningekuwa naiangalia hii toka mwanzo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…