Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Hulk mchoyo sana wamtoe bana yaani mtu anaomba na yuko mwenye haumpi kenge wewe
Referee bilionear anamudu mechi vizuri sana
Huyu Naymair mchezaji Mzuri ila anakazarau cha kupigwa Kofi moja mpaka asikie nziiiiiiiiiiii!
kwa bongo atakuwa kamanisha bilionea.Ni multi millionaire
Nakuvuliwa wamevuliwa hata Mie naona fidia Serikali haki Yao ila ahadi za uongo nao waache timu zengine hata uwape ahadi gani hatimii.Kama kanzu leo watu wamevaa sana
Yeah kibongo bongo yeahkwa bongo atakuwa kamanisha bilionea.
Mexico ooooooooo