World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona kila ushindi wa Brazil ni goli 3 japo mechi bado inaendelea. Nina wasiwasi na wale NJIWA watatu siku ya ufunguzi.
 
Kwa nchi zetu huyo wala asingependa kufanya hiyo kazi...!

Ila kwa nchi yetu kuna mpira gani hadi niache kazi yangu nikachezeshe, kisa cha kupigwa ngumi au kukimbizwa na mashabiki hapana
 
Mexico 3 bandugu. Huenda mexico akaongoza kundi au mnasemaje.
 
Mexico wataongoza group A matokeo yakiwa hivi hadi mwisho?
 
Mexico wakipiga la nne alafu Brazil asiongeze goli...basi Mexico ataongoza group!
 
Pole mkuu
Kuna kamzigo nilikapata baada ya mkeka wa timu saba kushinda zote , nikaona isiwe mbaya ngoja nimpe Croatia yaani amekula hadi hela ya chai. Dah imeniuma sana ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao hao washenzi.
 
Brazil hata kama huyu mshenzi kala dau langu nililolihangaikia nakupenda wewe ila siwezi wekeza kwako
 
Yaan nyie wanyama mmeshindwa kufa kikondoo kweli? Na mkirudi kwenu adhabu yenu mashamba tu!!!Haya Brazil hongereni!!
 
Cameroon wawakilishi wabovu kuliko wote. Mechi tatu, zero point, goli 10 za kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…