World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wale mabruda wapo kweli humu...kazi kwelikweli, maana hadi Papa ameshawakana hawa mamafia wa Sicilia!
 
kuna mtu kanitumia picha ya suarez aking'ata nikajua adobe kumbe kweli! tanesco wananikosesha matukio
 
Huyu njino shuzilaulezi hakika ana chembechembe za popo wanywa damu...
 
England nao wameshindwa kuifunga 2nd tier Costa Rica team

Mkuu uliangalia kweli huo mpira?

Costa Rica first eleven yao walibadilisha watu wawili tuu wakati England walibadilisha watu 9
 
Diego Godin goli kama hili ndilo liliwapa ubingwa wa Spain alipo sawazisha nyumbani kwa Barca!Leo kalifunga tena na umuhimu zaidi ya ule wa Barca
 
Binafsi nadhani kama Suarez hana kichaa cha mbwa basi ana Homon za mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…