Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Wazee wa kubet mashindano haya hawajielewi....:flame::flame:
Hahahaah,,,,wananuna balaa kila baada ya mechi, utafikiri wanalazimishwa kubet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kubet mashindano haya hawajielewi....:flame::flame:
alipigwa kipepsi naye kafanya vitu vyake
Wamefungwa...!! Au bila bila.England nao wameshindwa kuifunga 2nd tier Costa Rica team
FIFA wanaweza kumuacha wale maana hawaeleweki
Wamefungwa...!! Au bila bila.
England nao wameshindwa kuifunga 2nd tier Costa Rica team
Nimesikitika sana hawa jamaa kutoka......Wale mabruda wapo kweli humu...kazi kwelikweli, maana hadi Papa ameshawakana hawa mamafia wa Sicilia!
Me ni mshabiki mkubwa wa Suarez ever wasipo mfungia napata mashaka nao FIFA