Wazee wa kubet mashindano haya hawajielewi....:flame::flame:
Hawawezi muacha lzm afungiwe,huyu ni mchezaji wangu lkn ni kichaa
Wale mabruda wapo kweli humu...kazi kwelikweli, maana hadi Papa ameshawakana hawa mamafia wa Sicilia!
Yaani kundi la costarica, uruguay , england na Italy zinatoka Italy na england?
leo wanataka tulale watu tunakesha mno tangu kombe lianze
Italy wanastahili hii adhabu. Timu ni mbovu, tangu mechi ya mwanzo na england, hawakustahili kuvuka raundi hii. Uruguay wamepambana na hatimae wamevuka kwenda knock out stage. Kwa heri Azzuri...
Nimebaki na timu yangu Argentina
cc: Mourinho
Huyu njino shuzilaulezi hakika ana chembechembe za popo wanywa damu...
Nimesikitika sana hawa jamaa kutoka......
Italy wanastahili hii adhabu. Timu ni mbovu, tangu mechi ya mwanzo na england, hawakustahili kuvuka raundi hii. Uruguay wamepambana na hatimae wamevuka kwenda knock out stage. Kwa heri Azzuri...
Nimebaki na timu yangu Argentina
cc: Mourinho
Binafsi nadhani kama Suarez hana kichaa cha mbwa basi ana Homon za mbwa.
Ndio zimetoka, mwaka huu timu za Ulaya naona kabisa hazifiki mbali