World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Suarez kafanya makusudi ili UK media zimuandike vibaya then aondoke!Huyu kijana ni fundi sana lkn kichaa
 
Italy wanastahili hii adhabu. Timu ni mbovu, tangu mechi ya mwanzo na england, hawakustahili kuvuka raundi hii. Uruguay wamepambana na hatimae wamevuka kwenda knock out stage. Kwa heri Azzuri...

Nimebaki na timu yangu Argentina
cc: Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Imebaki France tu,Uruguay sijaona mpira wanaocheza but mpira ni magoli.2010 walikuwa na timu nzuri kuliko hii
 
Wale mabruda wapo kweli humu...kazi kwelikweli, maana hadi Papa ameshawakana hawa mamafia wa Sicilia!

Hatukucheza vizuri mashindano haya na red card nayo ikatuathiri.

Forza Azzurri
 
VAMPIRE SURE LAZY..

2383923_big-lnd.jpg
 
Wadau Italy imetoka lakini jambo la kushtua Suarez kamtafuna beki wa Italy Chiellini. Inatarajiwa atakumbana na adhabu kali
 
Italy wanastahili hii adhabu. Timu ni mbovu, tangu mechi ya mwanzo na england, hawakustahili kuvuka raundi hii. Uruguay wamepambana na hatimae wamevuka kwenda knock out stage. Kwa heri Azzuri...

Nimebaki na timu yangu Argentina
cc: Mourinho

Kwa kweli team imecheza chini ya kiwango sanaa, kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana maana kwa mara ya pili mfululizo sasa tunatolewa kwenye group stages

Uruguay ilikua bahati yao na red card imewasaidia, sijaona kitu kwao zaidi ya goli ya Godin na Suarez kumuuma Chiellini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom