Kuna wabaguz km holland? Kaishi nao Ndio utawajua wakisaidiana na wagerman
Kweli kabisa,,,,,,,,,,,Mourinyo alikuwa sahihi. Casillas kaharibuHaya Spain wenu hao wanaweza wasiione robo fainali.... Labda Jose Mourinho alikuwa sahihi kumweka Casillas benchi alipokuwa kocha wa RM
Wasipoangalia wanaweza wakatolewa na mapema kabisa hata katika 16 bora wasiwemo.
Van Persie sasa inabidi apewe red card mambo gani anayofanya kuwanyanyasa wenzake
Holland 4
Pole team Spain bado lingine na lingine.!!
Haya Spain wenu hao wanaweza wasiione robo fainali.... Labda Jose Mourinho alikuwa sahihi kumweka Casillas benchi alipokuwa kocha wa RM
Pole team Spain bado lingine na lingine.!!
Ha Ha Ha sijawahi kuhisi kitu kama hicho ila kwa mara ya kwanza leo ninahisi Spain anaweza kutolewa round ya kwanza
Hivi huyu ni bingw mtetezi or bingwa mtembezi??