World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hiyo ndo faida ya kudanganya, kichapo cha mbwa mwizi, chezea holland weye.
 
Haya Spain wenu hao wanaweza wasiione robo fainali.... Labda Jose Mourinho alikuwa sahihi kumweka Casillas benchi alipokuwa kocha wa RM
Kweli kabisa,,,,,,,,,,,Mourinyo alikuwa sahihi. Casillas kaharibu
 
Wasipoangalia wanaweza wakatolewa na mapema kabisa hata katika 16 bora wasiwemo.


Ha Ha Ha sijawahi kuhisi kitu kama hicho ila kwa mara ya kwanza leo ninahisi Spain anaweza kutolewa round ya kwanza
 
Casillas kaisha kashasababisha magoli matatu katika mechi mbili(CL, WC) kubwa. Manchester Utd mnunueni ata fit in na timu yenu.
Cc DonDonald, Nzi, Belo
 
Hahaaa shame on them

BAO LA NNE


MUNGU KUMSAMEHE MNAPIGWA LA TANO MWAMBIENI AOMBE RADHI KWA MOLA UKO ALIPO
 
Ule ufalme wa casilas unamfia mkononi Leo Katavi hama timu van anapiga hat trick na ushindi ni 5-1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom