World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani mkuu BAK nimetoka kukubalia sasa naamini yale maneno kuwa kuna timu zinapendelewa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ni baada ya kuchapwa bao mbili moja na ugiriki ambao wamepata bao lao la pili kwa mkwaju wa penati.
 
They deserved to lose! Wafungashe tu kama Cameroun!
 
All in all refa kawabeba sana greece hawakustahili
Kuna foul za kijinga kabisa alikuwa anapuliza kipenga kuna timu zinabebwa ila hawatafika popote
 
Wacha watoke maana walikuwa wanajambiana tu uwanjani. Wasingefika popote kwa uwezo wao mdogo
 
Bq7UciyIEAAU6wg.jpg:large
 
ubaguzi wa waziwazi dhidi ya Afrika, timu za Africa zote zijitoe haraka na kususia mashindano haya ya kibaguzi, penati gani ile kama si usnch tu wa kupeana magoli ya kiboya.
 
Back
Top Bottom