Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea Cape Verde nini?
Kati ya timu niliyoitabiria itapita makundi ni Ivory Cost lakini hamna kitu.
Kati ya timu niliyoitabiria itapita makundi ni Ivory Cost lakini hamna kitu.
hakika kiongozi, ile nchi waionaje kwa soka lake? Ingawa walipokonywa chance yao lakn huwez linganisha na hizo timu tajwa, ivory coast walitakiwa waimalize hii game mapema kabla ya hata yule golikipa wa 1 wa UGiliki hajatoka endapo tu kama wangelicheza kitimu!
Jamani ukweli ni mgumu kuupokea maana pamoja na filimbi nyingi za refa, waafrika wenzetu hawakuwepo kabisa uwanjani cjui labda wanaomboleza bado msiba wa nduguye kolo na yaya tule!
Cameroun nje. !+7%89+ #### Pelnaty.
Yule Refa aliowapa Greece Penalt akija Holiday nitamfungulia Pet wangu mmoja Serengeti pale atafuniwe mbali siku nyengine Suarez akitafuta wakumuwekea Meno awawekee Alama ya Meno Mirefa Kama hii.
Racist refereeing kama kawa. Ingekuwa kama ingekuwa England, Germany, ..
mkuu chakushangaza unaweza ona Ghana inafuzu raundi ya 16 kwa kumfunga ureno!
alitoa sababu gani?Yule mchambuzi wa soka wa Africa Mamaduu Gaye alisema "hakuna timu yoyote kutoka Africa itakayo ingia 16"
Yameanza kutimia sasa.
sielewi wanafanya nini humo ndani. gevino akipata mipira hatoa pasi mapema
Tatizo ivory cost hawachezi kitimu..na makosa ya magoli karibia mechi zote ni yale yale ya kiungo kupiga backpass na kufugwa..alafu wanapanga majina wanaacha wachezaji wazuri kwenye benchi..ni kama italy tuhakika kiongozi, ile nchi waionaje kwa soka lake? Ingawa walipokonywa chance yao lakn huwez linganisha na hizo timu tajwa, ivory coast walitakiwa waimalize hii game mapema kabla ya hata yule golikipa wa 1 wa UGiliki hajatoka endapo tu kama wangelicheza kitimu!
Jamani ukweli ni mgumu kuupokea maana pamoja na filimbi nyingi za refa, waafrika wenzetu hawakuwepo kabisa uwanjani cjui labda wanaomboleza bado msiba wa nduguye kolo na yaya tule!
Pamoja na racisim..lkn ivorycost hawachezi kitimu..gervinho na kalou wachoyo mno..na lile kisa la kumwacha bony njeBest unawaza kama mimi najiuliza ingekua ni mchezaji wa brazil kafanya hilo kosa hivi kweli penalt ingetolewa jamani?????
Tofauti kubwa kati ya timu zilizo pita na ambazo hazijapita ukitoa iran..ni kwamba timu hazichezi kitimuHalafu wenzetu wachoyo sana wakutoa pasi za mwisho kwa kweli kila mtu anataka kufunga.
Muangalie Gervinho pasi kibao hajatoa lakini pale alipotoa wakapata goli. YEYE TULE kashindwa kutoa pasi pale walipo attack dk za mwisho.
Angalia mechi ya Ghana na Germany jinsi Jordan Ayew alivyo wanyima wenzake pasi za mwisho.
wewe ni msambaa? mara ya pili unakosea vilevile.
alitoa sababu gani?