World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yule Refa aliowapa Greece Penalt akija Holiday nitamfungulia Pet wangu mmoja Serengeti pale atafuniwe mbali siku nyengine Suarez akitafuta wakumuwekea Meno awawekee Alama ya Meno Mirefa Kama hii.
 
Unaongelea Cape Verde nini?

hakika kiongozi, ile nchi waionaje kwa soka lake? Ingawa walipokonywa chance yao lakn huwez linganisha na hizo timu tajwa, ivory coast walitakiwa waimalize hii game mapema kabla ya hata yule golikipa wa 1 wa UGiliki hajatoka endapo tu kama wangelicheza kitimu!
Jamani ukweli ni mgumu kuupokea maana pamoja na filimbi nyingi za refa, waafrika wenzetu hawakuwepo kabisa uwanjani cjui labda wanaomboleza bado msiba wa nduguye kolo na yaya tule!
 
Kati ya timu niliyoitabiria itapita makundi ni Ivory Cost lakini hamna kitu.
 
hakika kiongozi, ile nchi waionaje kwa soka lake? Ingawa walipokonywa chance yao lakn huwez linganisha na hizo timu tajwa, ivory coast walitakiwa waimalize hii game mapema kabla ya hata yule golikipa wa 1 wa UGiliki hajatoka endapo tu kama wangelicheza kitimu!
Jamani ukweli ni mgumu kuupokea maana pamoja na filimbi nyingi za refa, waafrika wenzetu hawakuwepo kabisa uwanjani cjui labda wanaomboleza bado msiba wa nduguye kolo na yaya tule!

Halafu wenzetu wachoyo sana wakutoa pasi za mwisho kwa kweli kila mtu anataka kufunga.
Muangalie Gervinho pasi kibao hajatoa lakini pale alipotoa wakapata goli. YEYE TULE kashindwa kutoa pasi pale walipo attack dk za mwisho.
Angalia mechi ya Ghana na Germany jinsi Jordan Ayew alivyo wanyima wenzake pasi za mwisho.
 
Yule Refa aliowapa Greece Penalt akija Holiday nitamfungulia Pet wangu mmoja Serengeti pale atafuniwe mbali siku nyengine Suarez akitafuta wakumuwekea Meno awawekee Alama ya Meno Mirefa Kama hii.

Hahahaha umenchekesha weye
 
mkuu chakushangaza unaweza ona Ghana inafuzu raundi ya 16 kwa kumfunga ureno!

Ni kweli Kama walivyopita Greece. Lakini Mkuu nakwambia kwa uchoyo wa pasi za magoli hakuna lolote. Waafrica wanakuangusha pale usipotarajia.

Usishangae
Iran anapita kwa kumfunga Bosnia huku Argentina akimshushia kibano Nigeria

Urussi inaendelea kwa kumfunga Algeria huku Korea akifanya lolote kwa Belgium.
Na
Ureno anapita kwa kujipigia Ghana huku USA nae wanasumbuana na Germany.
 
Sijaangalia mechi za wiki hii ni kweli Suarez kang'ata mtu kwa mara nyingine? Kama ni hivyo huyu jamaa atakuwa na mapepo ya kung'ata si bure.
 
hakika kiongozi, ile nchi waionaje kwa soka lake? Ingawa walipokonywa chance yao lakn huwez linganisha na hizo timu tajwa, ivory coast walitakiwa waimalize hii game mapema kabla ya hata yule golikipa wa 1 wa UGiliki hajatoka endapo tu kama wangelicheza kitimu!
Jamani ukweli ni mgumu kuupokea maana pamoja na filimbi nyingi za refa, waafrika wenzetu hawakuwepo kabisa uwanjani cjui labda wanaomboleza bado msiba wa nduguye kolo na yaya tule!
Tatizo ivory cost hawachezi kitimu..na makosa ya magoli karibia mechi zote ni yale yale ya kiungo kupiga backpass na kufugwa..alafu wanapanga majina wanaacha wachezaji wazuri kwenye benchi..ni kama italy tu
 
Best unawaza kama mimi najiuliza ingekua ni mchezaji wa brazil kafanya hilo kosa hivi kweli penalt ingetolewa jamani?????
Pamoja na racisim..lkn ivorycost hawachezi kitimu..gervinho na kalou wachoyo mno..na lile kisa la kumwacha bony nje
 
Halafu wenzetu wachoyo sana wakutoa pasi za mwisho kwa kweli kila mtu anataka kufunga.
Muangalie Gervinho pasi kibao hajatoa lakini pale alipotoa wakapata goli. YEYE TULE kashindwa kutoa pasi pale walipo attack dk za mwisho.
Angalia mechi ya Ghana na Germany jinsi Jordan Ayew alivyo wanyima wenzake pasi za mwisho.
Tofauti kubwa kati ya timu zilizo pita na ambazo hazijapita ukitoa iran..ni kwamba timu hazichezi kitimu
 
Timu za africa Zina gundu sana...yaaani naamka eti ivory coast wamefungwa!!mxxxx
 
Back
Top Bottom