Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Gemu ya Jana ya ivory cost na Greece mwenye clip ya ile faulo aliyochezewa Samaras na yule bwana mdogo SIO aitupie hapa maana sina uhakika kama ile ni penalty kwa asilimia hata 70
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini Africa tutameza ukweli mchungu kwamba sisi bado kabisa.....?Matendo km ya wachezaji wetu wakubwa km song kupiga mtu kiwiko .....Assou Kuoto kupigana....yanasaidiaje kusonga mbele....Tukubali sisi bado kabisa!
Na aliye mng'ata mtu meno jana au hilo kwako ni sawa...tena asante Mungu hakufanya balotel mbona ingekuwa majanga...angeandikwa na kutukanwa kila mahali...lakini tendo limefanywa na mzungu lipo sawa....team zetu zinahujumiwa...
Waliokujibu hili bandiko lako wanatosha, sina chochote cha kuongezea. Uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuamua kuandika chochote hapa.
Mimi naona hawa waafrika ndio wanaokua na mechi mbaya WC
Walionijibu km wewe BAK you live in denial...!Siku mukikubali kumeza ukweli mchungu pengine ndo tutaanza kupiga hatua...
Sijui kwa nn inaniuma sana kutolewa kwa Ivory Coast najitahidi kujisahaulisha lakin wap.
mkuu mii mwezako jana sijalala sijaamini kabisa ila tupoeSijui kwa nn inaniuma sana kutolewa kwa Ivory Coast najitahidi kujisahaulisha lakin wap.
Hii ni wazi kuwa wenzetu wanatumia mbinu nyingi kushinda na hilo inabidi tulijue, sasa angalia rais wao Alassane Ouattara eti dakika za mwisho anawahaidi wachezaji posho mara mbili endapo wakishinda. Ni kwa nini asitoe pesa hizo kwenye maandalizi? Na je unadhani hizo posho zinalingana na heshima ambayo wangeipata kwa kuendelea na mashindano!?Aiseeh hata mimi kimeniuma sana yaan bora hata saivi jana niliumia sana afu ata bora wangefungwa kikawaida yaan penalty kwa dk 91 afu ilitolewa kiajabu ajabu tuu.
Hawa wa-Africa....ww wa wapi kwani...?
Nadhani kwa Taarifa Suarez amekuwa Charged na FIFA....anyway siwezi kumzungumzia huyu kwani ni mu-Africa na mwezangu akifanya hivi inaniuma zaidi.....God bless Africa but there other things we ought to take responsibility....
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.Aiseeh hata mimi kimeniuma sana yaan bora hata saivi jana niliumia sana afu ata bora wangefungwa kikawaida yaan penalty kwa dk 91 afu ilitolewa kiajabu ajabu tuu.
Huyu Suarez apewe tu kifungo hadi mashindano yaishe.Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.