palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Haya haya wadau wa soka Skype hapa nawasalimia
Kuna namna hawa watu wanafanya. Hii ni hujuma kwa kweli, hii ni mbinu ya kuziondoa timu tishio.
mie binafsi mzima. Karibu tupunguze au tuongeza machungu.
Kuna namna hawa watu wanafanya. Hii ni hujuma kwa kweli, hii ni mbinu ya kuziondoa timu tishio.
Asante mkuu ila najua hapa ni presha kwa kwenda mbele.
mkuu mii mwezako jana sijalala sijaamini kabisa ila tupoe
Naomba nitajie majina yao bila kukosea