Kufungwa goli dakika ya pili sio dalili nzuri
Pamoja mkuu...
Nimeenda maliwatoni dakika moja nkakosa magoli mawili.
Mimi shabiki nguli wa Italia ila nitakwambia kuwa hatukustahili kuingia 16 bora, team imecheza chini ya kiwango sana. Bora tulivyotoka namna hii kuliko tungeenda huko mbele tukakutana na aibu kama waliopata Spain
Nigeria sio safari leo kweli?
Kwa jinsi Argentina wanavyocheza kuna hatari ya Timu Nigeria kuanzishiwa safari ya kurudi Afrika hapa! Jamaa wako vizuri sana!