World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimeenda maliwatoni dakika moja nkakosa magoli mawili.
 
Hapa leo tutapigwa mvua za magoli maana tabia yetu ni ileile!!!
 
Indeed the start of the game between Nigeria and Argentina is very sensational! In 5mins - 2 goals!
 
Mimi shabiki nguli wa Italia ila nitakwambia kuwa hatukustahili kuingia 16 bora, team imecheza chini ya kiwango sana. Bora tulivyotoka namna hii kuliko tungeenda huko mbele tukakutana na aibu kama waliopata Spain

Mkuu umechambua vyema sana pale juu!Mpira ni maandalizi sio tu kutegemea kipaji toka kwa Mungu!!
 
hawa mabeki wanafanya kosa sana mpira ukipigwa hawafanyi marking au kumsaidia golikipa wanabaki wamesimama tu.
 
Kwa jinsi Argentina wanavyocheza kuna hatari ya Timu Nigeria kuanzishiwa safari ya kurudi Afrika hapa! Jamaa wako vizuri sana!
 
Back
Top Bottom