World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bosnia bado anaongoza mkuu kwa bao 2,Mungu saidia Bosnia ASHINDE

Dada huwa sipendi sana mpira wa kutegemea kusaidiwa na mwingine!Nigeria regardless matokeo ya Iran wanahitaji sare leo surely kupita na wafanye hivyo!They have to show us their determination bana
 
Hivi huyu refa mbona tunachezawa rafu anajifanya kama haoni?
Ila messi akikabwa tu kidogo anapuliza filimbi
Kuna kajiupendeleo fulani ukifuatilia kwa makini!

Ile firimbi ni kwa ajili ya kumlindia Mess
 
Dada huwa sipendi sana mpira wa kutegemea kusaidiwa na mwingine!Nigeria regardless matokeo ya Iran wanahitaji sare leo surely kupita na wafanye hivyo!They have to show us their determination bana

usiniambie huoni DETEERMINATION ya wanaija mkuu....kumbuka they are up against MESSI and co.
 
Nigeria leo wamecheza mpira wa hali ya juu, japo point ni kufuzu raundi ya pili.
 
Dada huwa sipendi sana mpira wa kutegemea kusaidiwa na mwingine!Nigeria regardless matokeo ya Iran wanahitaji sare leo surely kupita na wafanye hivyo!They have to show us their determination bana
Ndo hivyo Malafyale inabidi na plan B nayo iwork incase plan A ambayo Nigeria wanatakiwa washinde ikigoma
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…