Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
hii nzuribosnia 2 iran 0 dk 59
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nzuribosnia 2 iran 0 dk 59
Safi sana Nigeria anapita hapa.
Bosnia bado anaongoza mkuu kwa bao 2,Mungu saidia Bosnia ASHINDE
Hivi huyu refa mbona tunachezawa rafu anajifanya kama haoni?
Ila messi akikabwa tu kidogo anapuliza filimbi
Kuna kajiupendeleo fulani ukifuatilia kwa makini!
yaaani angalau leo tutalala kumfungia vibwebwe france
Iran kapigwa 2-0 paka sasa....Messi anapumzishwa....LAST 16 HERE WE COME!!!!!
#TeamNigeria
Dada huwa sipendi sana mpira wa kutegemea kusaidiwa na mwingine!Nigeria regardless matokeo ya Iran wanahitaji sare leo surely kupita na wafanye hivyo!They have to show us their determination bana
Kuna uwezekano Nigeria wakapigwa tano..
Bosnia kapiga cha 2 wakuu
Bora huyu kenge katoka.
wafaransa wanataka nigeria ashinde ili wamtoe argentina maana wanasema anafungika kirahisi kuliko nigeriaIran kapigwa 2-0 paka sasa....Messi anapumzishwa....LAST 16 HERE WE COME!!!!!
#TeamNigeria
Ndo hivyo Malafyale inabidi na plan B nayo iwork incase plan A ambayo Nigeria wanatakiwa washinde ikigomaDada huwa sipendi sana mpira wa kutegemea kusaidiwa na mwingine!Nigeria regardless matokeo ya Iran wanahitaji sare leo surely kupita na wafanye hivyo!They have to show us their determination bana