Haya Mkuu njoo ufute kauli yako hapa!
huyu Giroud ni mzigo kwa france kama alivyo mzigo kwa arsenal..........
duuu antonio valencia red card sasa hapa sijui mangapi tusibiri
Teh teh teh teh, lol!
Tena sasa hivi mkuu mi silali mpaka nione anafanya hivyo!
Unatafuta ugomvi na watu
Giggs wa Lipuli ya Iringa itakuwa.
Wafaransa wamepita ila timu yao sio kivile sana
Unatafuta ugomvi na watu
Dah! Yaani bado tu mnaiandama Arsenal!Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!
Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!
Nigeria na France sijui itakuwaje,ila Argentina lazima akae kwa Shaqiri
Nadhani France wali take easy mechi hii. Ingawaje nimeona mechi moja ya Argentina nadhani jamaa wapo laini ukilinganisha na France. Mechi zote za Argentina wameshinda kingangari ukilinganisha na mechi France walizoshinda. Anyway, tusubiri mtowano tutaona mabadiliko ya kila timu yalivyo. Kesho Ujerumani watauza mechi vs USA kumzuia Ghana, mama'o zao wakifanya hivi.
Dah! Yaani bado tu mnaiandama Arsenal!
Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!
Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!
Dada Vick Argentina akitolewa na Uswis naomba uje kwenye harusi yangu!Nitaenda makaburini nioe jini!
Then Nigeria akimtoa France hii ya Benzema nipe adhabu yyt ile hata ya kutembea uchi Kariakoo nitatii
Serious, Kamanda anatakiwa aje hapa kututaka radhi... as so far wachezaji wa The Gunner wamefanya vizuri katika ngazi hii ya magroup..
Blunders sometimes happen kwenye soka!Iran kacheza kwa lzm ashinde lkn Bosnia akawa fearless maana hana cha kupoteza!
Kudos to Balkans
Polee!!
Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!
Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!