World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Giggs wa Lipuli ya Iringa itakuwa.

Wafaransa wamepita ila timu yao sio kivile sana

Nadhani France wali take easy mechi hii. Ingawaje nimeona mechi moja ya Argentina nadhani jamaa wapo laini ukilinganisha na France. Mechi zote za Argentina wameshinda kingangari ukilinganisha na mechi France walizoshinda. Anyway, tusubiri mtowano tutaona mabadiliko ya kila timu yalivyo. Kesho Ujerumani watauza mechi vs USA kumzuia Ghana, mama'o zao wakifanya hivi.
 
Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!

Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!
Dah! Yaani bado tu mnaiandama Arsenal!
 
Nigeria na France sijui itakuwaje,ila Argentina lazima akae kwa Shaqiri

Dada Vick Argentina akitolewa na Uswis naomba uje kwenye harusi yangu!Nitaenda makaburini nioe jini!

Then Nigeria akimtoa France hii ya Benzema nipe adhabu yyt ile hata ya kutembea uchi Kariakoo nitatii
 
Nadhani France wali take easy mechi hii. Ingawaje nimeona mechi moja ya Argentina nadhani jamaa wapo laini ukilinganisha na France. Mechi zote za Argentina wameshinda kingangari ukilinganisha na mechi France walizoshinda. Anyway, tusubiri mtowano tutaona mabadiliko ya kila timu yalivyo. Kesho Ujerumani watauza mechi vs USA kumzuia Ghana, mama'o zao wakifanya hivi.

Ghana bado ana kibarua kigumu cha kumfunga Portugal

Usiwalaumu Wajerumani kama wataamua kumbeba Mnyamwezi, hata ungekuwa wewe unataka uende na kibonde. Kila timu inataka kuchukua kombe kwa njia zozote zile
 
Dah! Yaani bado tu mnaiandama Arsenal!

Si wenyewe huwa mnadai kuwa strikers wenu hawajafunga bao nyingi msimu huu sababu mido wenu wa uhakika DIABY ni majeruhi?

Team inayomtegemea DIABY kama ndiyo awe mpishi wa mabao yake basi ina matatizo makubwa sana kwa kweli ahahahah
 
Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!

Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!

Itabidi mmchukue huyo Girould akam - replace Suarez ambaye sidhani kama atarudi/ataruhusiwa tena kucheza EPL
 
Dada Vick Argentina akitolewa na Uswis naomba uje kwenye harusi yangu!Nitaenda makaburini nioe jini!

Then Nigeria akimtoa France hii ya Benzema nipe adhabu yyt ile hata ya kutembea uchi Kariakoo nitatii

Duuuuh kaka hayo maneno yako hata siyo mambo ya kuoa majini tena makuburini. Yaani nina hakika jini limekusikia na yatafanya njia zote argentina afungwe ili lipate mume. Kila la kheri.
 
Serious, Kamanda anatakiwa aje hapa kututaka radhi... as so far wachezaji wa The Gunner wamefanya vizuri katika ngazi hii ya magroup..

Wamefanya vizuri kwa standards zipi? Ukitoa Giroud, na Ozil kidogo, nitajie mchezaji mwingine wa goons hata mwenye shot on target!!!

Huku #ManUnited wachezaji sita wametupia nyavuni (RvP, Nani, Chicharito, Rooney, Fellaini na Mata), huku kocha wa timu akionyesha balaa litakalokuja EPL!
 
BrAanYVCAAIq3Aj.jpg
 
Giroud sio mbaya!Akija kwenye most famous Worldwide soccer academy- Liverpool atang'ara sana!

Pale Arsenal kakosa mtu mchezeshaji kama Henderson au Coutihno wa kumpitishia!

Re: Zingatia kwenye wino wa mwalimu
Pangekuwa na UNLIKE button ningekupa Unlike elfu mbili kaka Malafyale. Kama unawaweka Henderson na Coutinho mbele ya Ozil, Ramsey bora uendelee kushangilia Taifa stars na Mbeya City in my opinion.
 
Back
Top Bottom