Asante but I wanna remind you that kesho Taifa kubwa kisoka hivi sasa duniani USA ana go through!
Ukini support mimi kesho ina maana umeokoa roho ya binti yangu pia!
pole ila kama hii goal line technology inekuwepo wala refa asingehangaika mpira ungewekwa kati.
Acha hizo wewe Dogo,najua hiyo ya kuoa jini haiwezekani,ila jua Argentina anatoka.kuhusu Nigeria kumtoa France sio kazi rahisi,ila naamini Nigeria wapo Brasil si kwa Bahati mbaya hivyo lolote laweza tokea,ila tusubiri,sipati picha unatembea uchi pale kariakoo mpaka posta ya zamaniDada Vick Argentina akitolewa na Uswis naomba uje kwenye harusi yangu!Nitaenda makaburini nioe jini!
Then Nigeria akimtoa France hii ya Benzema nipe adhabu yyt ile hata ya kutembea uchi Kariakoo nitatii
kama ni hujuma amefanya kocha wa CIV, amewatoa wachezaji ambao walikuwa wanauweka mpira mbele, akaingiza wachezaji ambao wanauweka mpira nyuma, matokeo yake ni penati.Kuna namna hawa watu wanafanya. Hii ni hujuma kwa kweli, hii ni mbinu ya kuziondoa timu tishio.
Wamefanya vizuri kwa standards zipi? Ukitoa Giroud, na Ozil kidogo, nitajie mchezaji mwingine wa goons hata mwenye shot on target!!!
Huku #ManUnited wachezaji sita wametupia nyavuni (RvP, Nani, Chicharito, Rooney, Fellaini na Mata), huku kocha wa timu akionyesha balaa litakalokuja EPL!
Sijawahi kushabikia timu ambayo messi anaichezea.
Leo mara ya kwanza.
Argentina piga hao matapeli wa kwenye mtandao.
Gemu ya Jana ya ivory cost na Greece mwenye clip ya ile faulo aliyochezewa Samaras na yule bwana mdogo SIO aitupie hapa maana sina uhakika kama ile ni penalty kwa asilimia hata 70
huwapendi mashemeji zako wa ughaibuni kwa nini?
Nadhani France wali take easy mechi hii. Ingawaje nimeona mechi moja ya Argentina nadhani jamaa wapo laini ukilinganisha na France. Mechi zote za Argentina wameshinda kingangari ukilinganisha na mechi France walizoshinda. Anyway, tusubiri mtowano tutaona mabadiliko ya kila timu yalivyo. Kesho Ujerumani watauza mechi vs USA kumzuia Ghana, mama'o zao wakifanya hivi.
Ila kusema ukweli Nigerians ughaibuni wanatutandikia mno dada zetu kwa kuwalaghai kama ni watoto wa Gavana lkn hii sio sababu ya kutowashangilia bana
nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.
Niliwahi achwa na demu kisa Nigerian kamuambia yy ni mtoto wa Bilionea na wataenda wote Abuja!
Anyway mkuu hapa tunajadili soka tu ahahahaah
Nigeria amepita? tupen matokeo wadau