palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
messi ni mchezaji bora:
Angalia mambo yafuatayo: Jamaa anaweza kubadili matokeo ya mchezo. Tangu miaka 50 iliyopita hakujawahi kutokea mchezaji wa argentina kufunga katika mechi 3 zote za makundi.
Messi anapocheza ni kama mazoezi, hatumii nguvu nyingi,,hana presha na mchezo, he's an artist.
Messi kama zidane, timu nzima inategemea ubunifu wake, hana kelele sana; anaacha miguu izungumze.
Amekosa kuwa mchezaji bora mwaka huu; lakini yeye halalamiki kama ilivyokuwa ronaldo. Anaacha kazi yake izungumze.
Watu wanamchukia; hana neno yeye anafanya kazi tu. Hadi sasa. Messi 4 - 0 c.ronaldo.
Messi atabaki miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza mpira. Yeye ni daraja la akina;
mario kempes, zidane, di stefano, pele, platin, ruud gullit, ronald de lima, diego maradona.;
messi hatari sana ; hasa anapocheza vs timu unayopenda.
haaa! halafu miss chagga huwa ni wifi yangu coz ni dadake na chepuko langu, haya nipe muongozo nimsaidie nini, kabla hujajibu naomba nimuhakikishie miss chaga kwamba nitatoa msaada kwa moyo wangu wote
Kwangu Messi ni wa Kawaida sana nikimlinganisha na Ronaldo de Lima ambaye amechukua vikombe vyote ulimwengu, dynamic-anaumia mwaka nje akiingia moto zaid ya jana amehama toka club mbalimbali na zote kabeba vikombe huku akiendelea kuwa mtu muhimu kwa timu husika. So ili Messi afike hicho kiwango basi afanye kama Ronaldo de Lima.
My Perception.
nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. Hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. Dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.
haaa! halafu miss chagga huwa ni wifi yangu coz ni dadake na chepuko langu, haya nipe muongozo nimsaidie nini, kabla hujajibu naomba nimuhakikishie miss chaga kwamba nitatoa msaada kwa moyo wangu wote
Messi anadharauliwa hapo tu, kukaa team moja kama Giggsy.
Inabidi ahame kama CR7 tujue ubora wake ulipo
anauliza kwanini nigeria inacheza mechi nyingi? Kisa imeingia 16.
Halafu kwanini iingie 16 bora huku imefungwa 3-2 na messi??
Ni kweli ndg. Sikatai kuwa ni mchezaji mzuri lakini si kwa kiwango kikubwa kama Fifa wanavyotuaminisha. Mf Cr.7 katokea mtaani mpaka hapo alipo huku akileta mafanikio katika timu kwa juhudi binafsi zaid tofauti na Messi ambaye kalelewa Barcelona mpaka anazeekea pale. Mwaka huu Messi hajasaidia timu yake ya Barca kubeba hata kombe la mbuzi.
ok sawa miss chagga nigeria wamedraw mechi moja, wameshinda mechi moja na kushindwa mechi hii ya jana. Katika kundi lao iran na bosnia wamefungwa zaidi kuliko wao. Maelezo kwa ufupi ni hayo.
ngoja aje kukuuliza kwanini makipa wanavaa gloves kama manesi, stay tunned
Kwa hiyo Africa tumebakiza team gani mzunguko wa 16 bora?!
kimaneno au perfomance?? henderson,coutinho wameifikisha liverpool second place,hao Ozil na ramsey wameshika 4th place kwa kudra za Mungu kumbuka mmesumbuliwa na everton hadi mechi za mwisho mwisho!
Niliwahi achwa na demu kisa Nigerian kamuambia yy ni mtoto wa Bilionea na wataenda wote Abuja!
Anyway mkuu hapa tunajadili soka tu ahahahaah
Haaaa haaaa haaa!mie sasa nashabikia team chile
itabidi niwe namjibu tu sasa nitafanyaje? Nikileta za kuleta atanichongea kwa kakake
CR7 anaangushwa na wachezaji vimeo wa Portugal
Na waengereza inawauma Hivyo Hivyo kufungwa kwa mkono na Maradona kushangilia ila wengi tungemshangilia Maradona ndio Football.Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.