World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu shombe shombe boateng si mtu wa kuitwa timu ya taifa na huwa nashangaa makocha wanavojipendkeza kumwita. Mchezaji gani hapendi kucheza mechi za kufuzu? Mchezaji gani hapendi taifa lake kucheza mataifa ya afrika? Yeye akiona worldcup ndo anajua mda wa kutafta KIKI.. Hana uzalendo toka zamani ni mtu ambaye amekaa kibinafsi zaidi.. Nadhani bila wodcup ya 2010 asingepata shavu Ac Milan... Ifike wakati timu za afrika kutoita wachezaji wao waliozaliwa nje ya afrika maana hawana uchungu na nchi zao. Bora kidogo timu za kiarabu kama algeria ambao robo tatu ya kikosi wamezaliwa ulaya wanatambua uchungu wa nchi.
 
BREAKING NEWS


The FIFA Disciplinary Committee has reached a decision in the case related to Luis Suárez of Uruguay following an incident that occurred during the FIFA World Cup™ match between Italy and Uruguay played on 24 June 2014.
The FIFA Disciplinary Committee has decided that:
· The player Luis Suárez is regarded as having breached art. 48 par. 1 lit. d of the FIFA Disciplinary Code (FDC) (assault), and art. 57 of the FDC (an act of unsporting behaviour towards another player).
· The player Luis Suárez is to be suspended for nine (9) official matches. The first match of this suspension is to be served in the upcoming FIFA World Cup™ fixture between Colombia and Uruguay on 28 June 2014. The remaining match suspensions shall be served in Uruguay's next FIFA World Cup match(es), as long as the team qualifies, and/or in the representative team's subsequent official matches in accordance with art. 38 par. 2a) of the FDC.
· The player Luis Suárez is banned from taking part in any kind of football-related activity (administrative, sports or any other) for a period of four (4) months in accordance with art. 22 of the FDC.
· A stadium ban is pronounced against the player Luis Suárez in accordance with art. 21 of the FDC as follows: the player Luis Suárez is prohibited from entering the confines of any stadium during the period of the ban (point 3). The player Luis Suárez is prohibited from entering the confines of any stadium in which the representative team of Uruguay is playing while he has to serve the nine-match suspension (point 2).
· The player Luis Suárez is ordered to pay a fine in the amount of CHF 100,000.
The decision was notified to the player and the Uruguayan FA today.
"Such behaviour cannot be tolerated on any football pitch, and in particular not at a FIFA World Cup when the eyes of millions of people are on the stars on the field. The Disciplinary Committee took into account all the factors of the case and the degree of Mr Suárez's guilt in accordance with the relevant provisions of the Code. The decision comes into force as soon it is communicated," said Claudio Sulser, chairman of the FIFA Disciplinary Committe

http://www.fifa.com/worldcup/news/y...-and-banned-for-four-months-from-2386354.html


 

huyu mtu ameicost nchi yake....na atawacost liverpool kwa mara ya pili.......miezi minne ina maana atarudi mwisho wa mwezi wa kumi....atakuwa amekosa mechi karibu 12 hivi za ligi na mechi kadhaa za premier league,nadhani mwisho wake wa kucheza EPL pia umefika!
 
Suarez bana huyu jamaa anapenda matatizo mwishoni mwa msimu au anataka akirudi afunge magoli mengi iwe sifa kuwa amemiss miezi minne na amefunga magoli mengi kuliko Torresss
 

uruguay wameshasema hiyo haiwasumbui wao jumamosi wanashinda game na kusonga mbele. Wanasema hizi zilikuwa ni hasira za waitaliano na waingereza baaada kuondolewa kwenye mashindano. Lakini kitu cha kushangaza suarez tangu 2010 ameshafungiwa mechi 34 bila hata kupata kadi nyekundu.
 

1.suarez ndio ameng'ata mtu sio waingereza wala waitaliano
2.fifa haiendeshwi na waingereza,na katika maadui wa fifa uingereza namba moja

sasa walitegemea ang'ate watu halafu achekewe??! tena wamemfungia muda mfupi wangemuongeza hata mingine minne
 
1.suarez ndio ameng'ata mtu sio waingereza wala waitaliano
2.fifa haiendeshwi na waingereza,na katika maadui wa fifa uingereza namba moja

sasa walitegemea ang'ate watu halafu achekewe??! tena wamemfungia muda mfupi wangemuongeza hata mingine minne

mbona una hasira sana? kwani zidane alimpompiga kichwa materazi alifungiwa miezi mingapi?
 
mbona una hasira sana? kwani zidane alimpompiga kichwa materazi alifungiwa miezi mingapi?

aisee wewe ni mkali unaona hasira kwenye maandishi!!! sikumbuki zidane alifungiwa mechi ngapi. nikumbushe.
 
aisee wewe ni mkali unaona hasira kwenye maandishi!!! sikumbuki zidane alifungiwa mechi ngapi. nikumbushe.
Zidane banned and fined for Materazzi headbutt

ZURICH, July 20 (Reuters) - Former France captain Zinedine Zidane and Italy defender Marco Materazzi were both fined and banned by FIFA on Thursday after the head-butting incident that marred the World Cup final on July 9.
Zidane, who has retired as a player, was fined £3260 and handed a three-match ban by FIFA's five-man disciplinary committee following his red card for head-butting Materazzi.

The Italian defender, who admitted insulting Zidane, provoking the Frenchman's head-butt, was handed a two-match ban and fined £2170. He attended a hearing last Friday.

Jul, 20, 2006
 

hivi hii adhabu si ilikuja baada ya yeye kustaafu??kama ndio hata wangempa miezi 12 wangeonekana hypocrites

zidane headbutt resulted from serious provocation na ndio maana hata materrazi alifungiwa....
hii ya suarez ni unprovoked attack kuthibitisha hilo ameleta utetezi wa kijinga eti mdomo umegongana na bega...so childish

zidane alikiri kampiga kichwa kwa sababu kamtukania mama yake na dada zake kwa muda mrefu wakati mechi inaendelea,hivi zidane kapiga vichwa watu mara ngapi?? ninachojua suarez kashang'ata watu watatu mpaka sasa....
 
Furaha yangu ni kuona Ghana anamkomalia mreno na kama ni kutoka tutoke wote
 
FIFA imetangaza kumfungia Luis Suarez mechi tisa za kimataifa, na adhabu ya kutojihusisha na shughuli zozote za kandanda kwa miezi minne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…