Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Ghana HAWEZI MFUNGA Ureno!Mbona jamani hamnielewi tu lol
Wajerumani?? Au mi ndo sijaelewa unamanisha nini?
ghana akimfunga ureno naomba ban ya mwezi huu wa sita wote ila july mnifungulie invisible
Ghana akimfunga Ureno naomba BAN ya Mwezi huu wa sita wote ila July mnifungulie Invisible
Ghana akimfunga Ureno naomba BAN ya Mwezi huu wa sita wote ila July mnifungulie Invisible
Atakua anaangalia mechi ya usa na germany zinacheza mda sawa
kwa timu ipi waliyonayo?