World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mbona una hasira sana? kwani zidane alimpompiga kichwa materazi alifungiwa miezi mingapi?

Kosa la kumpiga mtu kichwa ni tofauti na kung'ata mtu,kumbuka Zizou alipewa red card hiyo ilikuwa ni adhabu ukiacha pia alifungiwa.Suarez inabidi asaidiwe kuna matatizo anayo.But FIFA haijawa fair kumuadhibu kwenye club level,Liverpool wameadhibiwa nafikiri adhabu ingekuwa kwenye timu ya taifa tu
 
Hahahaha acha janja yako, mwezi ushaisha huu na unataka ufunguliwe mwezi wa 7 ili uje uchangie mechi za fainali eeeh!!
Ghana wanashinda leo, jiweke kwenye mazingira ya ban or new id.

Siwezi fungua ID mpya kwani hii nimeitumia sana hata nikifungua mpya nitajulikana tu.
Ndio mwezi unaisha ila nitarudi hapa
Naamini Ghana hawashindi hapa
 
Hahahaha acha janja yako, mwezi ushaisha huu na unataka ufunguliwe mwezi wa 7 ili uje uchangie mechi za fainali eeeh!!
Ghana wanashinda leo, jiweke kwenye mazingira ya ban or new id.

wakishinda ntafurahi sana ila haya mashambulizi balaa
 
Back
Top Bottom