World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana akimfunga Ureno naomba BAN ya Mwezi huu wa sita wote ila July mnifungulie Invisible
 
Last edited by a moderator:
Ghana wanaleta upuuzi hapa nendeni kama mlivyoenda na Hitler
 
USA na Mkoloni wanapita!Kila mmoja huko anataka kushinda ili kumkwepa Belgium!!
 
Ghana akimfunga Ureno naomba BAN ya Mwezi huu wa sita wote ila July mnifungulie Invisible

Hahahaha acha janja yako, mwezi ushaisha huu na unataka ufunguliwe mwezi wa 7 ili uje uchangie mechi za fainali eeeh!!
Ghana wanashinda leo, jiweke kwenye mazingira ya ban or new id.
 
Last edited by a moderator:
Mechi ya Ujerumani na USA mashabiki wameshaanza kuzomea, wanaona kuna kila dalili ya usanii ili kutoka 0-0 na timu zote mbili kuendelea. Itakuwa poa sana kama mashabiki wengi wataamua kutoka uwanjani kuonyesha kutoridhishwa kwao na upangaji wa matokeo.
 
Back
Top Bottom