World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ile posho yao iliwahi? isije ikawa ni mgomo baridi...

Boateng na Muntari kuulizia posho zao kwa kocha WAMEFUKUZWA
Cameroon wao wote waligoma
Nigeria walikataa kushuka kwenye basi lao majuzi kwa madai ya posho
Ivory Coast wao walinyimwa posho pia lkn wakakubaliana wacheze
Algeria wao walilipwa posho yao YOTE tena waliongezewa zaidi na serikali yao
 
0-0 Ujerumani na USA zote zinasonga mbele hata kama Ghana/Portugal watashinda kwa idadi kubwa ya magoli.

Portugal anataka alinde heshima tu leo kule Hitler na Washington wamecheza zamani leo wamekuja kamilisha ratiba
 
mi shinikizo la damu limepanda na mapigo ya moyo ni 150 kwa dk

Dada nakushauri nenda kulala!Hizi team za Afrika hizi zitakukosesha raha kila siku!Ghana walicheza vyema sana mechi 2 za kwanza ona leo wanavyo boronga
 
Back
Top Bottom