Bado nawaza kitendo cha suarez kung'ata mtu
Kww usalama wa Ghana wanatakiwa wampumzishe mara moja......
Refa afanye unoko atoe penalty kwa timu moja, penalty ambayo mpigaji anaweza kujikosesha.
Ile posho yao iliwahi? isije ikawa ni mgomo baridi...Kuna hatari beki Boye AKAPIGA hat trick leo
uruguay wangefika mbali sana...jamaa alibugi sana.
Ile posho yao iliwahi? isiye ikawa ni mgomo baridi...
Habari na hoja mchanganyiko
ili iweje mkuu...
Kww usalama wa Ghana wanatakiwa wampumzishe mara moja......
Afrika tuiombee Algeria tu jamani!Hawa walitoka longtime
Uruguay wangefika mbali sana...jamaa alibugi sana.
second half hiyooooo
Ile posho yao iliwahi? isije ikawa ni mgomo baridi...
0-0 Ujerumani na USA zote zinasonga mbele hata kama Ghana/Portugal watashinda kwa idadi kubwa ya magoli.
Afrika tuiombee Algeria tu jamani!Hawa walitoka longtime
Yaani ni preshaMmmmh hapa napo naona magoli yanakuwa mengi leo
mi shinikizo la damu limepanda na mapigo ya moyo ni 150 kwa dk