Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
huyu Ronaldo mjanja alidhani watapewa penalty
kwani hawajalipwa posho yao?
Boateng na Muntari kuulizia posho zao kwa kocha WAMEFUKUZWA
Cameroon wao wote waligoma
Nigeria walikataa kushuka kwenye basi lao majuzi kwa madai ya posho
Ivory Coast wao walinyimwa posho pia lkn wakakubaliana wacheze
Algeria wao walilipwa posho yao YOTE tena waliongezewa zaidi na serikali yao
mzigo umeletwa cash ndani ya private jet...kufika brazil ukasafirishwa na convoy hadi kambini...vijana wakakabidhiwa na wale vinara wa kudai wakatimuliwa! africa bana...tunaiweza wenyewe
Kutokupewa posho zao wakati kila timu ilishapewa pesa ya ushiriki.
Majibu hayo hapo chini....
Hivi ghana wakishinda wataingia 16 bora?????
Nawaza tu Suarez angemuuma meno huyu pepe.
Huyo refa anapendelea, haoni Ghana wanavyofanyiwa yeye kaona wareno tu. mxiiiuuuuu
Nimefurahi tumerudisha afadhali, nilikuwa nasoma waraka wa The bold.
Thread ya The bold inahusu nini na ipo wapi?