World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mie nimeshakaa mkao wa kula ili kuwaona Brazil wakifanya vitu vyao, mechi ngumu hii Brazil lazima wangangamare au itakula kwao. Brazil 3 Chile 1. Enjoy the game.
 
"We are not going to park the bus today, we will drive it straight towards our opponents half" maneno ya kocha wa chile hayo
 
Zimebaki dakika ishirini kabla ya safari ya mwisho ya timu yetu pendwa kuanza.
 
Pele anasema beki na kiungo brazil hamna tatizo ila hawana washambualiaji
 
Mie nimeshakaa mkao wa kula ili kuwaona Brazil wakifanya vitu vyao, mechi ngumu hii Brazil lazima wangangamare au itakula kwao. Brazil 3 Chile 1. Enjoy the game.

Haha Amına#brazıl
 
Reactions: BAK
Mie leo kwa brazil ni lumumba buku7 nimebet brazil anashinda ila mapenzi yapo kwa chile.
 
Enhee muda unatimu nawaona brazuu wametinga njano juu na nyeupe chini wakati huohuo Chile the unstoppable wako ndani ya uzi maridadi kabisa mwekundu juu na samawati chini, kwa kweli leo ni rrrraaha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…