Gonga like kama unamzidi kiwango Fred a.k.a Shaggy.
Fred haitendei haki jezi ya Ronaldo de lima,no 9
Jamani huyo sanchez mnamuwooona hamumuwoonii? Chile kanyaga twenzetu robo fainali hahahaa
Umenchekesha ulivomuita neymaar neema lol
Hii defence mbaya sana inabidi aweke wakata umeme mapema Chile wasiende mbele. Hivi ikitokea ndio kweli Brazil inafungwa si nitakuwa na huzuni sana jamani