World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani huyo sanchez mnamuwooona hamumuwoonii? Chile kanyaga twenzetu robo fainali hahahaa
 
justin Barber wa Mpira Leo atatoka ulimi nje Kama Jibwa Koko.
 
Hii defence mbaya sana inabidi aweke wakata umeme mapema Chile wasiende mbele. Hivi ikitokea ndio kweli Brazil inafungwa si nitakuwa na huzuni sana jamani
 
Mpira ni mapumziko, Chile the unstoppable 1 wakati huohuo brazuu nao 1, nawapisha wachambuzi watie mawili matatu mi ntarejea dk za lala salama.
 
Inavyoelekea timu mpya hasa the underdog ndo italibeba hili kombe mwaka huu. Timu kubwa zote zinaonekana kuchemsha
 
Back
Top Bottom