Hili zee kwa nini kaachwa, hafai anainyima chance Brazil
Gonga like kama unamzidi kiwango Fred a.k.a Shaggy.
Jamani huyo sanchez mnamuwooona hamumuwoonii? Chile kanyaga twenzetu robo fainali hahahaa
Hii defence mbaya sana inabidi aweke wakata umeme mapema Chile wasiende mbele. Hivi ikitokea ndio kweli Brazil inafungwa si nitakuwa na huzuni sana jamani
Inavyoelekea timu mpya hasa the underdog ndo italibeba hili kombe mwaka huu. Timu kubwa zote zinaonekana kuchemsha
Hii defence mbaya sana inabidi aweke wakata umeme mapema Chile wasiende mbele. Hivi ikitokea ndio kweli Brazil inafungwa si nitakuwa na huzuni sana jamani
Jiandae Kisaikolojia...
Fred bora ya Ngeleja wa Bunge FC.
Haki mm sijui nashangilia timu ipi...
huzuni ishabisha hodi, jiandae
pele kawaaambia leo asubuhi brazil haina striker.
Kwa hiki kiungo cha Chile nilicho kiona mpaka sasa Brazil kwisha habari yake.
Kwanza kasajiliwa kutoka timu gani?Hivi yule mchezaji wa yanga alietua na maximo jangwani hana namba brazil?
Wewe hebu nionee huruma hujui nitafungiwa miezi 7?
Mpira ni mapumziko, Chile the unstoppable 1 wakati huohuo brazuu nao 1, nawapisha wachambuzi watie mawili matatu mi ntarejea dk za lala salama.
Mshangilie huyo anaechezesha
Huyo Neymer wenu anatoka bila goli hapa.
Ila maselo anapanda mpaka anajisahau