World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

So far team zote zimeonyesha zina uwezo mkubwa sana hasa Chile
 
Mpira ni mapumziko, Chile the unstoppable 1 wakati huohuo brazuu nao 1, nawapisha wachambuzi watie mawili matatu mi ntarejea dk za lala salama.

Hivi utashabikia timu gani ikitokea mmefungwa?
Yaani wewe nahisi utanisababishia BAN
 
Back
Top Bottom