masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
una mda gani toka uanze kufwatilia maswala ya mpira mdauBingwa mttezi wa kombe la dunia k2piwa magoli 5,kwa moja na wale wale aliokutana nao kombe la dunia fainali .hi ina manisha mwaka 2010 spain ili bahatisha kumfunga uholanzi ila sio uwezo
Inauma sana tano? duh...
kumbe umeona hata wewe mpenzi!!
Mpira ni mchezo wa makosa ninamwamini sana mzee villa bosc bado mechi tunazo shaka ondoa natamani tukutane nao tu tena
Unless Pique na Ike wakae benchMpira ni mchezo wa makosa ninamwamini sana mzee villa bosc bado mechi tunazo shaka ondoa natamani tukutane nao tu tena
si wako kundi moja!
ful time
holland 5 spain 1
yaani 6 loooh
kama nazareth ya chombe na taifa stars
Mdogo wangu karudi analia eti ameliwa kwenye betting,,,,,,
Ninachojua since ni watetezi hawawezi kuikubali hii aibu. Utaona mechi ijayo