GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Mdogo wangu ni mshabiki wa Man u yaani kafurahi mno, lakini ni kwa sababuMdogo wangu karudi analia eti ameliwa kwenye bettii.ng,,,,,,
ya yule kocha wao anahisi mambo yatakuwa mazuri sana si yeye tu nahisi
hata wana JF walioko MAN U Wanafurahi.