Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Nani kapewa penalty?
Si nyinyi spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kapewa penalty?
Jibu litapatikana vipi hapo?Game ya Chile na Australia ndiyo itatupa majibu kama Spain atapita raundi ya pili au atafungasha.
Chile watampiga Australia su chini ya magoli 4Game ya Chile na Australia ndiyo itatupa majibu kama Spain atapita raundi ya pili au atafungasha.
kwa kiwango cha leo alichokionesha rooben uzee mwisho kwa madiba brazil kila mchezaji kama neymar vile
nimeliona hilo mkuu ile kichwa ni balaa[/
Kama ana mabawa
Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
Bwana mtabiri umeshalala au bado upo hewani?Mm na bet: espania 2 uholanz 1
nina mashaka Brazil kuvuka robo fainali,hatujaona bado game la Porugal,Germany na Switzland,mbona itakuwa balaaNdio mara ya kwanza kwa bingwa mtetezi kuanza na kikaango kama hiki!!
Goli la tano ndio kali kuzidi yoooteee
then spain ajiandae kuwa mtazamaji kama Taifa stars.Chile watampiga Australia su chini ya magoli 4
spain wakifungwa lazima d silva awe scapegoat leo walizidiwa, they are one trick pony with their tiki taka boredomspain walikua hovyo nyuma nadhani. kocha pia alifanya maamuz ya ovyo kumtoa alonso..alonso yuko vasatile sio kma akina silver.silver ni winning team player kwa dituation ya leo nadhani arteta alistahili kuitwa he would do smthng.othrwse akina xavi na iniesta wameshiriki kuandika hitoria zao binafsi na sio ushindi kwa team..bt spain watapita kwenye kundi naamin hyo..
mbaya,Hawa Netherland wangecheza na Cameroon au Mexico wangepigwa hata magoli kumi,mexico na Cameroon hamna kitu kabisaSijaona game la Cameroon vs Mexico lilikuwaje wakuu?
raundi ya pili brasil wanaweza kukutana na espana, hapo inabidi wabebwe kupindukianina mashaka Brazil kuvuka robo fainali,hatujaona bado game la Porugal,Germany na Switzland,mbona itakuwa balaa
Aisee ni ajabu na kweli! mabao ya akili sana! hadi aibu!
Kipa alikuwa anatambaa tu kwenye majani
Sijaona game la Cameroon vs Mexico lilikuwaje wakuu?