GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
Navipendaga sana hivi vikaragosi vyenye jina kama ID ya huyo mkuu, ed, edd and eddyMwe hiyo ID yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navipendaga sana hivi vikaragosi vyenye jina kama ID ya huyo mkuu, ed, edd and eddyMwe hiyo ID yako!
yani kama kitoto kidogo mkuu
na wakilazimishwa draw wanakuwa out
Chile watawafungwa Australia magoli ya kutosha
Hahaaa kweli au unataka tuchokoza watu hapa..kwa kifupi ni kuwa Mboni katuharibia Etoo basi
tusubiri maana imebaki kama dk 40 tu mechi ya chile kuanzaHata Spain yalotokea hayakutegemewa.....ngoja tuwaone kwanza huenda na wao Miguu imewalegea Kama Spain
Kundi lao wanaweza kupita.then spain ajiandae kuwa mtazamaji kama Taifa stars.
Hata Spain yalotokea hayakutegemewa.....ngoja tuwaone kwanza huenda na wao Miguu imewalegea Kama Spain
Round ya pili ya kitu gani?yaani unaota spain inaingia round ya pili?khaa una eoho ngumu kweli
Mwe hiyo ID yako!
nina hofu chile wasiweza kudraw kwa uholanzi,naona watapigwa tuasee kwel...
chile wanashinda goli 3 kwa 1 .
spain mechi inayokuja wanashinda 2 kwa 1.
chile watadroo na uholanzi.
then next
"SPAIN OUT"
ni 5-1 huyu masai dada macho yake yana usingizi..
Chile lazima washinde.tusubiri maana imebaki kama dk 40 tu mechi ya chile kuanza